Total Pageviews

Friday, January 20, 2012

MZIGO MPYA UMEINGIA : DAWA SAFI SANA ZA ASILI ZINAZO TIBU MARADHI MBALIMBALI.

1.  SHABAB

Ni  dawa  ya  asili  ambayo  hutibu kwa  haraka  na kwa  uhakika  maradhi  yafuatayo :
1. Maleria  Sugu
2. Ngiri  aina  zote
3. Mingurumo  ya  tumbo.
4. Taifodi.
5. Maumivu chini  ya  kitovu.
6. Choo  kigumu.
7. Uuume  kurudi ndani.
8. Kusafisha  mkojo  wa  njano  unaouma.
9. Kuchoka upesi  katika  tendo  la  ndoa.

2.  ROJO

Hii  ni  dawa  ya  asili  inayotibu  magonjwa  yafuatayo :

1. Maumivu  yote  ya  viungo.
2.  Ganzi, miwako  ya  moto.
3.Chembe ,kiuno, mgongo.
4. Kichwa, misuli, magoti

Dawa  hii  inafanya  kazi  kwa  haraka  sana.


3. JINOBO  :

Ni  dawa  ya  asili  ambayo  huondoa  hutibu  maradhi yafuatayo :

1.  Jino  kuuma.
2. Fizi  kuvimba.
3. Harufu  mbaya  mdomoni.
4. Meno  kutoa  damu.
5.  Kuzuia  meno  kuwa  na  tundu

4.  FARAJA
Hii ni  dawa  ya  asili  ambayo  hutibu matatizo  yafuatayo :

1.  Sukari
2. Pressure


5.  FANGASIDA
Ni  dawa  ya asili  ambayo  hutibu kwa  haraka sana magonjwa  yote ya  ngozi   ( Fangasi  ya  ngozi  na  damu )...Dawa  hii  humaliza  matatizo hayo  kabisa  na  kuirejesha  ngozi  katika  hali  yake  ya  kawaida.

6. CHURURURU
Ni dawa  ya  asili  ambayo  huondoa  haraka  maradhi ya   mtoto kukojoa  kitandani na mkubwa  pia.

7. MCHOKONOA
Ni  mzizi wa  asili  ambao hutumika  kwa  njia  ya  kutafuna  kama  muwa, maji  kumeza  na  makapi  kutema. Dawa hii  hutibu  magonjwa  yafuatayo :

1. Gesi   2.  Choo  kigumu   3. Kuchelewa  kupata  choo  4.  Kutosikia njaa (  Kukosa hamu  ya  chakula  )  5. Kustarehe  ndoa kwa  muda mrefu  mpaka  kutoshana  (  kwa  wanawake  na  wanaume )

No comments:

Post a Comment